Dennis Gabor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Dennis Gabor

Dennis Gabor (5 Juni 19008 Februari 1979) alikuwa mhandisi kutoka nchi ya Hungaria. Mwaka wa 1933, baada ya kufanya kazi nchini Ujerumani, alihamia Uingereza. Hasa alichunguza nadharia ya upigaji picha na kuvumbua holografia. Mwaka wa 1971 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dennis Gabor kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.