Robert Woodward
Mandhari
Robert Burns Woodward (10 Aprili 1917 – 8 Julai 1979) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza usanisi wa misombo, kwa mfano kwinini. Mwaka wa 1965 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Robert Woodward kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |