Salvador Luria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo Nobel.png
Salvador Luria

Salvador Edward Luria (13 Agosti 19126 Februari 1991) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Italia. Wakati wa utawala wa Mussolini alihamia Marekani. Hasa alichunguza virusi vinavyoharibu vijidudu. Mwaka wa 1969, pamoja na Max Delbruck na Alfred Hershey alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salvador Luria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.