Edvard Moser

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Edvard Moser

Edvard Moser (amezaliwa 27 Aprili, 1962) ni mwanasaikolojia kutoka nchi ya Norwei. Hasa alichunguza seli za ubongo. Mwaka wa 2014, pamoja na mke wake May-Britt Moser na John O'Keefe, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edvard Moser kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.