May-Britt Moser

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
May-Britt Moser.
Picha na: Henrik Fjørtoft

May-Britt Moser (amezaliwa 4 Januari, 1963) ni mwanasaikolojia kutoka nchi ya Norwei. Hasa alichunguza seli za ubongo. Mwaka wa 2014, pamoja na mume wake Edvard Moser na John O'Keefe, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu May-Britt Moser kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.