John O'Keefe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
John O'Keefe

John O'Keefe (amezaliwa 18 Novemba, 1939) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Tangu 1967 aliishi Uingereza. Hasa alichunguza seli za ubongo. Mwaka wa 2014, pamoja na May-Britt Moser na Edvard Moser, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John O'Keefe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.