Nenda kwa yaliyomo

Ivan Pavlov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwanafiziolojia Ivan Pavlov

Ivan Petrovich Pavlov (26 Septemba 184927 Februari 1936) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Urusi. Hasa alichunguza mwenendo wa wanyama. Mwaka wa 1904 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ivan Pavlov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.