Harald zur Hausen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo Nobel.png
Harald zur Hausen

Harald zur Hausen (amezaliwa 11 Machi, 1936) ni daktari kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza saratani ya uke. Mwaka wa 2008, pamoja na Françoise Barré-Sinoussi na Luc Montagnier, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Tuzo Nobel.png Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Harald zur Hausen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.