Max Theiler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo Nobel.png
Max Theiler

Max Theiler (30 Januari 189911 Agosti 1972) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Afrika Kusini. Baadaye alihamia na kupata uraia wa Marekani. Hasa alichunguza virusi visababishavyo maradhi mbalimbali. Pia aligundua dawa ya chanjo dhidi ya homa ya manjano. Mwaka wa 1951 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Max Theiler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.