Andrew Fire

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Andrew Fire

Andrew Fire (amezaliwa 27 Aprili, 1959) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza RNA. Mwaka wa 2006, pamoja na Craig Mello, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrew Fire kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.