Allan Cormack

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo Nobel.png

Allan MacLeod Cormack (23 Februari 19247 Mei 1998) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Afrika Kusini. Mwaka wa 1966 alikata uraia wa Marekani. Hasa anajulikana kwa uchunguzi wa eksirei na matumizi ya kompyuta katika uchunguzi huo. Mwaka wa 1979, pamoja na Godfrey Hounsfield alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Allan Cormack kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.