Godfrey Hounsfield
Mandhari
Godfrey Newbold Hounsfield (28 Agosti 1919 – 12 Agosti 2004) alikuwa fundi umeme kutoka nchi ya Uingereza. Hasa anajulikana kwa kubuni picha za eksirei kwa njia ya kompyuta. Mwaka wa 1979, pamoja na Allan Cormack alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Godfrey Hounsfield kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |