Rita Levi-Montalcini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo Nobel.png
Rita Levi Montalcini.jpg

Rita Levi-Montalcini (Torino 22 Aprili 1909 - Roma 30 Desemba 2012) alikuwa daktari na mwanasiasa kutoka nchi ya Italia.

Hasa alichunguza vipengele mbalimbali vya ukuaji wa chembe hai.

Mwaka 1986, pamoja na Stanley Cohen alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Yeye mpaka sasa ni mshindi wa Nobel wa pekee kufikisha umri wa miaka 100.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rita Levi-Montalcini kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.