Nenda kwa yaliyomo

Stanley Cohen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stanley Cohen

Stanley Cohen (amezaliwa 17 Novemba 1922) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza vipengele mbalimbali vya ukuaji wa chembe hai. Mwaka wa 1986, pamoja na Rita Levi-Montalcini alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stanley Cohen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.