Timothy Hunt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Timothy Hunt

Timothy Hunt (amezaliwa 19 Februari, 1943) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza protini na kazi yake katika ugawanyaji wa seli. Mwaka wa 2001, pamoja na Leland Hartwell na Paul Nurse, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Timothy Hunt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.