Leland Hartwell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Leland Harrison Hartwell (amezaliwa 30 Oktoba, 1939) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza protini na kazi yake katika ugawanyaji wa seli. Mwaka wa 2001, pamoja na Timothy Hunt na Paul Nurse, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leland Hartwell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.