Nenda kwa yaliyomo

Paul Nurse

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul Nurse

Paul Nurse (amezaliwa 25 Januari, 1949) ni mwanajenetikia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza protini na kazi yake katika ugawanyaji wa seli. Mwaka wa 2001, pamoja na Leland Hartwell na Timothy Hunt, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Nurse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.