Barbara McClintock
Mandhari
Barbara McClintock (16 Juni 1902 – 2 Septemba 1992) alikuwa mwanajenetikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza jeni za mahindi. Mwaka wa 1983 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Barbara McClintock kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |