Satoshi Omura
Mandhari
Satoshi Omura (amezaliwa 12 Julai, 1935) ni mwanakemia kutoka nchi ya Japani. Hasa aligundua dawa dhidi ya maradhi mbalimbali. Mwaka wa 2015, pamoja na William Campbell na Tu Youyou, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Satoshi Omura kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |