Martin Evans

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Martin Evans

Martin Evans (amezaliwa 1 Januari, 1941) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza ujenetikia wa vipanya. Mwaka wa 2007, pamoja na Mario Capecchi na Oliver Smithies, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martin Evans kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.