Mario Capecchi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mario Capecchi

Mario Capecchi (amezaliwa 6 Oktoba, 1937 mjini Verona, Italia) ni mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza ujenetikia wa vipanya. Mwaka wa 2007, pamoja na Oliver Smithies na Martin Evans, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mario Capecchi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.