Christiane Nüsslein-Volhard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Christiane Nüsslein-Volhard

Christiane Nüsslein-Volhard (amezaliwa 20 Oktoba, 1942) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza jeni za nzi. Mwaka wa 1995, pamoja na Eric Wieschaus na Edward Lewis, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christiane Nüsslein-Volhard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.