Eric Wieschaus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eric Wieschaus

Eric Francis Wieschaus (amezaliwa 8 Juni, 1947) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza jeni za nzi. Mwaka wa 1995, pamoja na Christiane Nüsslein-Volhard na Edward Lewis, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Eric Wieschaus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.