Camillo Golgi
Camillo Golgi (7 Julai 1844 – 21 Januari 1926) alikuwa daktari kutoka nchi ya Italia. Hasa alichunguza mfumo wa neva. Mwaka wa 1906, pamoja na Santiago Ramon y Cajal alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
![]() |
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Camillo Golgi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |