Ralph Steinman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ralph Steinman

Ralph Steinman (14 Januari, 194330 Septemba, 2011) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Kanada. Hasa alichunguza kingamwili. Mwaka wa 2011, pamoja na Bruce Beutler na Jules Hoffmann, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ralph Steinman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.