Bruce Beutler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bruce Beutler picha na Kenneth Resnick

Bruce Beutler (amezaliwa 29 Desemba, 1957) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza kingamwili. Mwaka wa 2011, pamoja na Jules Hoffmann na Ralph Steinman, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bruce Beutler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.