Carl na Gerty Cori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Tuzo Nobel.png
Gerty Theresa Cori mnamo mwaka 1947

Carl Ferdinand Cori (5 Desemba 189620 Oktoba 1984) na Gerty Theresa Cori (15 Agosti 1896 – 26 Oktoba 1957) walikuwa wanakemia kutoka nchi ya Ucheki.

Baada ya kufunga ndoa mwaka wa 1920, walihamia Marekani na kupata uraia wa huko mwaka 1922.

Hasa walichunguza umetaboli wa kabohaidreti katika kiumbehai cha wanyama.

Mwaka wa 1947, pamoja na Bernardo Houssay walikuwa washindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carl na Gerty Cori kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.