George Whipple

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
George Whipple

George Hoyt Whipple (28 Agosti 18781 Februari 1976) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza sehemu za ugiligili katika mwili kama damu. Mwaka wa 1934, pamoja na George Minot na William Murphy alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu George Whipple kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.