Baruch Blumberg

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo Nobel.png
Baruch Samuel Blumberg

Baruch Samuel Blumberg (amezaliwa 28 Julai 1925) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza damu ya watu. Mwaka wa 1976, pamoja na Carleton Gajdusek alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Baruch Blumberg kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.