Herbert Spencer Gasser

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Herbert Spencer Gasser

Herbert Spencer Gasser (5 Julai 188811 Mei 1963) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza na kugundua kazi za neva mwilini. Mwaka wa 1944, pamoja na Joseph Erlanger alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Herbert Spencer Gasser kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.