David Baltimore

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
David Baltimore

David Baltimore (amezaliwa 7 Machi 1938) ni daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza uhusiano kati ya virusi na jeni. Mwaka wa 1975, pamoja na Howard Temin na Renato Dulbecco alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Baltimore kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.