Renato Dulbecco
Renato Dulbecco (amezaliwa 22 Februari 1914) alikuwa daktari kutoka nchi ya Italia. Hasa alichunguza virusi vinavyoathiri wanyama. Mwaka wa 1975, pamoja na David Baltimore na Howard Temin alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
![]() |
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Renato Dulbecco kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |