Baruj Benacerraf

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Baruj Benacerraf

Baruj Benacerraf (amezaliwa 29 Oktoba 1920) ni daktari kutoka nchi ya Venezuela. Alihamia Marekani 1940, na kupata uraia wa hapo 1943. Hasa alichunguza mfumo wa jeni. Mwaka wa 1980, pamoja na Jean Dausset na George Snell alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Kaka yake ni mwanafalsafa Paul Benacerraf.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Baruj Benacerraf kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.