Roger Sperry

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Roger Sperry

Roger Wolcott Sperry (20 Agosti 191317 Aprili 1994) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mbinu za upasuaji wa ubongo. Mwaka wa 1981, pamoja na David Hubel na Torsten Wiesel alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roger Sperry kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.