David Hubel
David Hunter Hubel (amezaliwa 27 Februari 1926) alikuwa daktari kutoka nchi ya Kanada. Baadaye alihamia na kufanya kazi nchini Marekani. Hasa alichunguza jinsi habari za macho zinazofikishwa ubongoni. Mwaka wa 1981, pamoja na Roger Sperry na Torsten Wiesel alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
![]() |
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu David Hubel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |