Torsten Wiesel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Torsten Wiesel

Torsten Nils Wiesel (amezaliwa 3 Juni 1924) alikuwa daktari kutoka nchi ya Uswidi. Hasa alichunguza jinsi habari za macho zinazofikishwa ubongoni. Mwaka wa 1981, pamoja na Roger Sperry na David Hubel alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Torsten Wiesel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.