Ronald Ross

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ronald Ross

Ronald Ross (13 Mei 185716 Septemba 1932) alikuwa daktari kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza virusi visababishavyo ugonjwa wa malaria. Mwaka wa 1902 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Mwaka wa 1911 alipewa cheo cha “Sir” cha Uingereza.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ronald Ross kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.