Nenda kwa yaliyomo

Paul Greengard

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul Greengard

Paul Greengard (amezaliwa 11 Desemba, 1925) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mawasiliano ndani ya seli. Mwaka wa 2000, pamoja na Arvid Carlsson na Eric Kandel, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Greengard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.