Arvid Carlsson
Mandhari
Arvid Carlsson (amezaliwa 25 Januari, 1923) ni mwanakemia na daktari kutoka nchi ya Uswidi. Hasa alichunguza dopamini. Mwaka wa 2000, pamoja na Paul Greengard na Eric Kandel, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arvid Carlsson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |