Dopamini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dopamini (kwa Kiingereza: dopamine) ni kemikali inayofanya kazi haswa katika mfumo wa neva kuwasilisha jumbe kutoka nyuroni moja hadi nyingine.

Morpho didius Male Dos MHNT.jpg Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dopamini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.