Kemikali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Orange potassium dichromate

Kemikali ni dawa inayosababisha kitu kubadilika kikemia.

Kwa mfano, maji ni uwiano wa hidrojeni na oksijeni ikiwa yalitoka mtoni au ulifanywa katika maabara.

Dutu za kikemikali zinazopatikana nyumbani hujumuisha maji, chumvi na klorini (buluu).

Historia ya Kemikali[hariri | hariri chanzo]

Dhana ya kemikali ilianza karne ya 18 baada ya mwanasayansi Joseph Proust kuandika mengi kuhusu kemikali kama copper carbonate. Alieleza kwamba katika kemikali yoyote, mchanganyiko ule huwa na vitu sawa, kwa mfano ukichanganya gramu ya copper na gramu nyingine ya Carbonic acid, basi utapata kwamba mchanganyiko utakaotengenezwa, bado ile gramu ya copper ipo na ile ya Carbonic acid ipo, ingawa pengine ikafifia kwa kubadilika kuwa gesi.

Matumizi ya kemikali leo[hariri | hariri chanzo]

Kemikali zina manufaa mengi leo kama:

  • Kutengeneza dawa za kutibia watu
  • Kuua kupe na vidudu vingine vinavyosumbua
  • Kemikali nyingine hutumika kuosha nguo au kutengeneza sabuni
  • Kuhifadhi chakula kwa muda mrefu

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Chem template.svg Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kemikali kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.