Nenda kwa yaliyomo

Aloi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Aloi ni mchanganyiko wa elementi mbili au zaidi wenye tabia ya kimetali; angalau elementi moja ndani yake ni metali pia.

Zatengenezwa kwa njia ya: 1) Kuyeyusha metali 2) Kuichanganya katika hali ya kiowevu pamoja nyongeza zote 3) Kupoza yote hadi imekuwa imara


Mifano ya aloi zinazotumiwa sana ni kama vile:


Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Aloi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.