Robert Barany

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robert Bárány
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


Robert Bárány (22 Aprili 18768 Aprili 1936) alikuwa daktari na mwanakemia kutoka nchi ya Hungaria. Mwaka wa 1914 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Barany kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.