Andrew Huxley

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Andrew Huxley

Andrew Fielding Huxley (amezaliwa 22 Novemba 1917) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza tishu za neva na misuli. Mwaka wa 1963, pamoja na John Eccles na Alan Hodgkin alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Mwaka wa 1974 alipewa cheo cha "Sir".

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrew Huxley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.