Robin Warren

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robin Warren

Robin Warren (amezaliwa 11 Juni, 1937) ni daktari kutoka nchi ya Australia. Hasa alichunguza heliobacter pylori na uhusiano wake na kidonda cha tumbo. Mwaka wa 2005, pamoja na Barry Marshall, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robin Warren kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.