Otto Loewi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Otto Loewi

Otto Loewi (3 Juni 187325 Desemba 1961) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ujerumani. Baadaye alihamia Marekani. Hasa alichunguza mawasiliano katika neva. Mwaka wa 1936, pamoja na Henry Dale alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Otto Loewi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.