Edwin Krebs
Mandhari
Edwin Krebs (6 Juni, 1918 – 21 Desemba, 2009) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza protini na kazi yake ndani ya seli. Mwaka wa 1992, pamoja na Edmond Fischer, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Asichanganywe na Hans Adolf Krebs ambaye pia alikuwa mwanakemia na kupokea Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1953.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Edwin Krebs kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |