Jules Bordet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tuzo Nobel.png
Jules Bordet

Jules Bordet (13 Juni 18706 Aprili 1961) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ubelgiji. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa mbalimbali. Mwaka wa 1919 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jules Bordet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.