Nenda kwa yaliyomo

Günter Blobel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Günter Blobel

Günter Blobel (21 Mei 1936 - 18 Februari 2018) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza protini na mawasiliano yake ndani ya seli. Mwaka wa 1999 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Günter Blobel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.