Rolf Zinkernagel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rolf Zinkernagel

Rolf Zinkernagel (amezaliwa 6 Januari, 1944) ni daktari kutoka nchi ya Uswisi. Hasa alichunguza kingamwili. Mwaka wa 1996, pamoja na Peter Doherty, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rolf Zinkernagel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.